Kum. 6:1 SUV

1 Na hii ndiyo sheria, na amri, na hukumu, alizoziamuru BWANA, Mungu wenu, mfundishwe, mpate kuzitenda katika nchi ile mnayoivukia kuimiliki;

Kusoma sura kamili Kum. 6

Mtazamo Kum. 6:1 katika mazingira