10 BWANA akanipa zile mbao mbili za mawe zimeandikwa kwa kidole cha Mungu; na juu yake yameandikwa maneno mfano wa yote aliyosema nanyi BWANA mle mlimani toka kati ya moto siku ya mkutano.
Kusoma sura kamili Kum. 9
Mtazamo Kum. 9:10 katika mazingira