Kum. 9:9 SUV

9 Na hapo nilipokwea mlimani kwenda kuzipokea mbao za mawe, nazo ni mbao za agano BWANA alilofanya nanyi, ndipo nikakaa mle mlimani siku arobaini usiku na mchana; sikula chakula wala kunywa maji.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:9 katika mazingira