Kum. 9:18 SUV

18 Nikaanguka nchi mbele za BWANA siku arobaini usiku na mchana, kama pale kwanza; sikula chakula wala kunywa maji; kwa sababu ya makosa yenu yote mliyokosa, kwa kufanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kwa kumkasirisha.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:18 katika mazingira