Kum. 9:19 SUV

19 Kwa kuwa niliogopa hasira na makamio aliyowakasirikia BWANA kutaka kuwaangamiza. Lakini BWANA alinisikiza wakati huo nao.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:19 katika mazingira