Law. 11:45 SUV

45 Kwa kuwa mimi ni BWANA niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.

Kusoma sura kamili Law. 11

Mtazamo Law. 11:45 katika mazingira