Law. 12:2 SUV

2 Nena na hao wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akitunga mimba na kuzaa mtoto mume, ndipo atakuwa yu najisi siku saba; kama katika siku za kutengwa kwake kwa ajili ya hedhi, ndivyo atakavyokuwa najisi.

Kusoma sura kamili Law. 12

Mtazamo Law. 12:2 katika mazingira