Law. 13:15 SUV

15 Kuhani ataiangalia hiyo nyama mbichi, naye atasema kuwa yu najisi; ile nyama mbichi ni najisi; ni ukoma.

Kusoma sura kamili Law. 13

Mtazamo Law. 13:15 katika mazingira