23 Lakini ikiwa kipaku hicho king’aacho kimeshangaa pale pale, wala hakienei, ni kovu ya jipu; na kuhani atasema kwamba yu safi.
Kusoma sura kamili Law. 13
Mtazamo Law. 13:23 katika mazingira