Law. 13:26 SUV

26 Lakini kuhani akipaangalia, na tazama, malaika meupe hamna katika hicho kipaku king’aacho, nacho hakikuingia ndani kuliko ngozi, lakini chafifia; ndipo kuhani atamweka mahali muda wa siku saba;

Kusoma sura kamili Law. 13

Mtazamo Law. 13:26 katika mazingira