Law. 14:9 SUV

9 Kisha siku ya saba atanyoa nywele zote za kichwani mwake, na ndevu zake, na nyushi zake, nywele zake zote pia atazinyoa; kisha atazifua nguo zake, na kuoga mwili wake majini, naye atakuwa safi.

Kusoma sura kamili Law. 14

Mtazamo Law. 14:9 katika mazingira