Law. 15:14 SUV

14 Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege;

Kusoma sura kamili Law. 15

Mtazamo Law. 15:14 katika mazingira