Law. 16:34 SUV

34 Na amri hii itakuwa amri ya milele kwenu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya wana wa Israeli kwa sababu ya dhambi zao zote, mara moja kila mwaka. Naye akafanya vile vile kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Kusoma sura kamili Law. 16

Mtazamo Law. 16:34 katika mazingira