Law. 16:9 SUV

9 Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi.

Kusoma sura kamili Law. 16

Mtazamo Law. 16:9 katika mazingira