Law. 19:15 SUV

15 Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.

Kusoma sura kamili Law. 19

Mtazamo Law. 19:15 katika mazingira