Law. 19:3 SUV

3 Kila mtu na amche mama yake, na baba yake, nanyi mtazitunza Sabato zangu; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Kusoma sura kamili Law. 19

Mtazamo Law. 19:3 katika mazingira