Law. 19:8 SUV

8 lakini kila mtu atakayekula atauchukua uovu wake mwenyewe, kwa sababu amekinajisi kitu hicho kitakatifu cha BWANA; na nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.

Kusoma sura kamili Law. 19

Mtazamo Law. 19:8 katika mazingira