Law. 2:14 SUV

14 Nawe kwamba wamtolea BWANA sadaka ya unga ya malimbuko, utatoa hiyo ngano katika masuke yake iliyochomwa motoni, ngano iliyopondwa ya masuke mabichi, ndiyo utakayoleta kuwa sadaka ya unga ya malimbuko yako.

Kusoma sura kamili Law. 2

Mtazamo Law. 2:14 katika mazingira