Law. 2:3 SUV

3 na huo uliosalia wa ile sadaka ya unga utakuwa ni wa Haruni na wanawe; ni kitu kitakatifu sana katika sadaka zilizosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto.

Kusoma sura kamili Law. 2

Mtazamo Law. 2:3 katika mazingira