Law. 20:22 SUV

22 Basi zishikeni amri zangu zote, na hukumu zangu zote, na kuzifanya; ili kwamba hiyo nchi, ambayo nawapeleka ninyi kukaa, isiwatapike.

Kusoma sura kamili Law. 20

Mtazamo Law. 20:22 katika mazingira