9 Basi kwa hiyo watayashika mausia yangu, wasije wakachukua dhambi kwa hayo, nao wakafa humo, wakiyanajisi; mimi ndimi BWANA niwatakasaye.
Kusoma sura kamili Law. 22
Mtazamo Law. 22:9 katika mazingira