Law. 23:21 SUV

21 Nanyi mtapiga mbiu siku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yo yote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu.

Kusoma sura kamili Law. 23

Mtazamo Law. 23:21 katika mazingira