Law. 25:28 SUV

28 Lakini asipoweza kujipatia mwenyewe, ndipo hiyo iliyouzwa itakaa mkononi mwake huyo aliyeinunua, hata mwaka wa yubile; na katika yubile itatoka, naye atairejea milki yake.

Kusoma sura kamili Law. 25

Mtazamo Law. 25:28 katika mazingira