Law. 25:33 SUV

33 Tena kama mtu mmoja wa hao Walawi akikomboa, ndipo nyumba iliyouzwa, na mji wa milki yake, itatoka katika yubile; maana, hizo nyumba za miji ya Walawi ni milki yao kati ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Law. 25

Mtazamo Law. 25:33 katika mazingira