Law. 25:6 SUV

6 Na hiyo Sabato ya nchi itakuwa chakula kwenu; kwako wewe, na kwa mtumwa wako, na kwa mjakazi wako, na kwa mtumishi aliyeajiriwa, na kwa mgeni wako akaaye pamoja nawe;

Kusoma sura kamili Law. 25

Mtazamo Law. 25:6 katika mazingira