Law. 26:25 SUV

25 Nami nitaleta upanga juu yenu, utakaopatiliza kisasi cha hilo agano; nanyi mtakutanishwa ndani ya miji yenu; nami nitaleta tauni kati yenu; nanyi mtatiwa mkononi mwa adui.

Kusoma sura kamili Law. 26

Mtazamo Law. 26:25 katika mazingira