Law. 26:41 SUV

41 mimi nami nimeendelea kuwashikia kinyume wao, na kuwatia katika nchi ya adui zao; lakini hapo, kama mioyo yao isiyokuwa tohara ikinyenyekea, nao wakubali adhabu ya uovu wao;

Kusoma sura kamili Law. 26

Mtazamo Law. 26:41 katika mazingira