Law. 26:8 SUV

8 Na watu watano wa kwenu watawafukuza watu mia, na watu mia wa kwenu watawafukuza watu elfu kumi; na adui zenu wataanguka mbele yenu kwa upanga.

Kusoma sura kamili Law. 26

Mtazamo Law. 26:8 katika mazingira