Law. 27:10 SUV

10 Yeye hatamgeuza, wala kumbadili mwema kwa mbaya, au mbaya kwa mwema; kwamba atabadili mnyama kwa mnyama ye yote, ndipo mnyama huyo na yule waliobadiliwa wote wawili watakuwa watakatifu.

Kusoma sura kamili Law. 27

Mtazamo Law. 27:10 katika mazingira