Law. 3:5 SUV

5 Na wana wa Haruni watayateketeza kwa moto juu ya madhabahu, juu ya sadaka ya kuteketezwa, iliyo katika kuni zilizo juu ya moto; ni dhabihu ya kusongezwa kwa njia ya moto, harufu ya kupendeza kwa BWANA.

Kusoma sura kamili Law. 3

Mtazamo Law. 3:5 katika mazingira