Law. 4:4 SUV

4 Naye atamleta huyo ng’ombe na kumweka mlangoni pa hiyo hema ya kukutania, mbele za BWANA; naye ataweka mkono wake kichwani mwake ng’ombe, na kumchinja huyo ng’ombe mbele za BWANA.

Kusoma sura kamili Law. 4

Mtazamo Law. 4:4 katika mazingira