Law. 6:16 SUV

16 Na unga uliosalia Haruni na wanawe wataula; utaliwa pasipo kutiwa chachu, katika mahali patakatifu; katika ua wa hema ya kukutania ndipo watakapoula.

Kusoma sura kamili Law. 6

Mtazamo Law. 6:16 katika mazingira