Law. 6:21 SUV

21 Utaandaliwa kaangoni pamoja na mafuta; ukisha kulowama utauleta ndani; utasongeza hiyo sadaka ya unga vipande vilivyookwa, iwe harufu ya kupendeza kwa BWANA.

Kusoma sura kamili Law. 6

Mtazamo Law. 6:21 katika mazingira