Law. 6:25 SUV

25 Nena na Haruni na wanawe, uwaambie, Amri ya hiyo sadaka ya dhambi ni hii; mahali hapo pachinjwapo sadaka ya kuteketezwa ndipo itakapochinjwa sadaka ya dhambi, mbele za BWANA; ni takatifu sana.

Kusoma sura kamili Law. 6

Mtazamo Law. 6:25 katika mazingira