Law. 6:27 SUV

27 Kila kitu kitakachoigusa nyama ya sadaka hiyo kitakuwa kitakatifu; tena itakapomwagika damu yake yo yote katika nguo yo yote, utaifua nguo hiyo iliyomwagiwa, katika mahali patakatifu.

Kusoma sura kamili Law. 6

Mtazamo Law. 6:27 katika mazingira