Law. 7:25 SUV

25 Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa BWANA kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.

Kusoma sura kamili Law. 7

Mtazamo Law. 7:25 katika mazingira