Law. 7:30 SUV

30 mikono yake mwenyewe itamletea hizo sadaka za kusongezwa kwa moto; mafuta yake pamoja na kidari atayaleta, ili kwamba hicho kidari kitikiswe kuwa sadaka ya kutikiswa mbele ya BWANA.

Kusoma sura kamili Law. 7

Mtazamo Law. 7:30 katika mazingira