Law. 8:9 SUV

9 Akamvika na kile kilemba kichwani mwake; na juu ya kilemba, upande wa mbele, akakitia kile kipande cha dhahabu, hiyo taji takatifu; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Law. 8

Mtazamo Law. 8:9 katika mazingira