17 Akasema, Hasha! Nisifanye hivi; mtu ambaye kikombe kilionekana mkononi mwake, ndiye atakayekuwa mtumwa wangu. Nanyi enendeni zenu kwa amani kwa baba yenu.
Kusoma sura kamili Mwa. 44
Mtazamo Mwa. 44:17 katika mazingira