Yer. 10:19 SUV

19 Ole wangu, kwa sababu ya jeraha yangu! Pigo langu laumia; lakini nalisema, Kweli, ni huzuni yangu mimi, nami sina budi kuivumilia.

Kusoma sura kamili Yer. 10

Mtazamo Yer. 10:19 katika mazingira