Yer. 10:20 SUV

20 Hema yangu umetekwa nyara, kamba zangu zote zimekatika; watoto wangu wameniacha na kwenda zao, pia hawako. Hapana mtu atakayenitandikia tena hema yangu, na kuyatundika mapazia yangu.

Kusoma sura kamili Yer. 10

Mtazamo Yer. 10:20 katika mazingira