Yer. 11:20 SUV

20 Lakini, Ee BWANA wa majeshi, uhukumuye haki, ujaribuye viuno na moyo, nijalie kuona kisasi chako juu yao; kwa maana nimekufunulia wewe neno langu.

Kusoma sura kamili Yer. 11

Mtazamo Yer. 11:20 katika mazingira