Yer. 11:21 SUV

21 Basi, kwa hiyo, BWANA asema hivi, juu ya watu wa Anathothi, watakao uhai wako, wakisema, Hutafanya unabii kwa jina la BWANA, usije ukafa kwa mkono wetu.

Kusoma sura kamili Yer. 11

Mtazamo Yer. 11:21 katika mazingira