Yer. 12:16 SUV

16 Kisha itakuwa, ikiwa watajifunza kwa bidii njia za watu wangu, kuapa kwa jina langu, Kama BWANA aishivyo, vile vile kama walivyowafundisha watu wangu kuapa kwa Baali, ndipo watakapojengwa kati ya watu wangu.

Kusoma sura kamili Yer. 12

Mtazamo Yer. 12:16 katika mazingira