15 Tena itakuwa, baada ya kuwang’oa, nitarudi na kuwahurumia; nami nitawaleta tena, kila mtu aingie katika urithi wake, na kila mtu aingie katika nchi yake.
Kusoma sura kamili Yer. 12
Mtazamo Yer. 12:15 katika mazingira