Yer. 14:10 SUV

10 BWANA awaambia watu hawa hivi, Hivyo ndivyo walivyopenda kutanga-tanga; hawakuizuia miguu yao; basi, BWANA hawakubali; sasa ataukumbuka uovu wao, atawapatiliza dhambi zao.

Kusoma sura kamili Yer. 14

Mtazamo Yer. 14:10 katika mazingira