Yer. 15:10 SUV

10 Ole wangu, mama yangu, kwa kuwa umenizaa mtu wa kuteta, na mtu wa kushindana na dunia yote! Mimi sikukopesha kwa riba, wala watu hawakunikopesha kwa riba; lakini kila mmoja wao hunilaani.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:10 katika mazingira