Yer. 15:9 SUV

9 Mwanamke aliyezaa watoto saba anazimia; ametoa roho; jua lake limekuchwa, ungali ni wakati wa mchana; ametahayarika na kufedheheka; na mabaki yao nitawatoa kwa upanga mbele ya adui zao, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:9 katika mazingira