Yer. 15:4 SUV

4 Nami nitawafanya kuwa kitu cha kutisha katika falme zote za duniani, kwa sababu ya Manase, mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda, kwa sababu ya mambo aliyoyatenda katika Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:4 katika mazingira