Yer. 15:5 SUV

5 Maana ni nani atakayekuhurumia, Ee Yerusalemu? Au ni nani atakayekulilia? Au ni nani atakayegeuka upande ili kuuliza habari za hali yako?

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:5 katika mazingira